@luobae

Tuangushie moja kalii πŸ”₯πŸ”₯ kutoka Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ tunakupenda pamoja n nyimbo zako 😘πŸ₯°πŸ˜

@carolinetandaika8239

Rudi utupe mavituzii, nilikua nawaza dogo kapotekea wap? Nn kmekumva?njooo wanyooshe,njoo utufurahishe dogo letu zuriii,nakukubal since "naenda kusema kwa mama "one ❀️ASLAYπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

@Deepwizdom

Tunasubiri Album, ✌️✌️

@zakiamoone1712

Ma sha Allah mungu ayendeleye kuwarinda mm kutoka rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό

@yohanafamily9770

Aposasa baba twakusubilia kwahama baba fulaha kwawatu wote wanaokupenda πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯☝️🎹🎹🎹🎺🎺🎺

@thomaskulwa425

Woow!!πŸ˜‹ Nilitamani sana siku nyingi uwe sehem sahihi kama hii.πŸ™πŸ™ Pamoja sana mdogo wangu, wewe ndo kingπŸ‘‘

@paulinekamau955

Nakupenda Aslay!!.......Love yr Songs....Baby: unanitukana ukilewa.....

@williamlucas1304

Kaka kalibu sana mm kama shabiki yako ninaye kupenda Sana nimekukumbuka sana najivunia kusikia unaludi tena kwenye gemu nakupenda Sana tena sana

@adijaramadhani9528

Aslay allah akusimamie kwa kazi zako kwakweli nipokua nasikiliza muziki wako uwa nafarijika sana kwakweli ila allah akuongoze kwenyenjia sahihi na muziki wako usonge mbele mungu akufikishe kwenye malengo yako na allah akufanyie wepesi kwakila jambo lako na

@innocharles3166

Pamoja sana aslay nakubali kazizako ni nomasana

@scolajuma2963

From 254, Fanya mambo Sasa dogo

@ObedKasereka-be9yl

Yaaani mimi aslay umeisha ni uwa tayari toka DRC mjini goma mimi ni fans❀

@danielmature3760

Aslay tunapenda nyimbo zako pia nawe sauti yako fity

@DottoAluta

Fanya kweli mwana muziki 🫑🫑🫑

@fotnatasakuru932

Sijali kuusu kazi zako na kuamini mpaka nalowana nipo tepetepe yani nainyoi😍😍😍😍😍

@mrjemus388

My brother Aslay Ongera sana brother nimependa kazi yako na hatua uliyo fiki Mungu azidi kukujalia kwa kazi zako

@jerrymsouth5024

Kubwaaaaaa

@jacklinemweni

Wee Big Nakucheck...  kwa sasa management iko imara kapisa tuko ndani%%ndani❀

@mbarakkhalid117

uko juu bro tuko pamoja team aslay

@babiryepersis9492

Jst smiles on my faceπŸ₯°πŸ₯°
More blessings our own