@tshany3861

Tulio miss miondoko hii kwa Aslay tujuane kwa like hapa 💪

@dayzamc8082

kijana mwezangu msanii mwezangu sio vibaya kukusifia unabaya unajua Asley mana sio kwa bolingo hii ume weza

@MTALIITV

Siku za Yamoto jameni💥💥🔥🔥🙌🙌

@thebishp8217

Makopa kopa❤️❤️ kutoka kwa jirani KE 🇰🇪

@omaryramadhani1056

Kibeby changu kibonge ngoja nikaze kitanda

@IsmailSeiph

bongo wawil to kuna alikiba na asley to wanautendea ak san mzik wa bongo

@Echvannyissa-wc4iw

Aslay wewe unatuwanga saana mdogo wangu

@EliasKiza-x7s

Nahipenda hiyo kaka aslay nakupenda sana

@EddyyEddyyn

Oh my God, nyc song i like it from kenya

@Dazbytozz7573

Love from burundi ❤❤❤

@mbaroukhamid8494

Uyuu Aslay hizi akili za kutunga anapewaa na nanii Mbn fundii hivii jamnii daaah more critical thinking anazozifanya izi skills zijaona kwa mwengine daah hongera ndgu dah

@thebosskingofficial

Sasa ingempata Mbosso hii daadeki ngoma lingekuwa zaidi ya ilivo noma

@clintonlamu

No.1 fan kenya 😍

@SwahiliAmbasador954

Huu ni ushauri kutoka mchambuzi wa muziki kwa masikio yangu hii ni hit song jitahidi kutoa video imeenda hii marketing no jambo la muhimu sana💗🔥 aslay 💯🎉

@sylvanjosam3402

Nakubal kak

@watambulaioci

Ohh unatukumbusha hits za yamito band kk, nakumbuka mbali kweli

@Michaelmusili

love from kenya💞💫💥

@bvffgggddfg6476

Love ❤❤❤from kenya🇰🇪

@mlangaliromwenda6945

Congrats ASLAY kwa kurudi na 🔥 🔥 🔥