Kuna ile nyimbo ya aslay anaimba anamtukana mdada kuwa ni mchafu hajuwi kufuwa vichupi vyake naomba mniambie inaitwaje tafadhali๐๐
Aslay anikumbusha ule wakati wa HAUTEGEKI, MHUDUMU, BABY BASI.... alitoa nyimbo nyingi wakati mmoja na zikakuwa hits zotr
yan hizi nyimbo zote nmezidownload af nikae.chini nikeke dundo.niskilize.make sina wasiwasi na aslay hajawah ni dissapoint tokea kitambo .. aslay noma sana unajua hadi unajua tena
Bless hapa ndotunapo kupenda kaka jiwe juunya jiwe kama una mkubari fundi Aslay acha like na coment ๐๐๐
Tulimiss hii vitu maana skuiz kila nyimbo wasanii wa bongo ni amapiano
Mmmh ila Aslay unajua Hadi unakela asee like ziwe nyingi jamani
Nmechelewa kidogo ila nimefika๐...naombeni likes zangu tukiendelea kuskia mziki mzuri Kenya๐ฐ๐ชadi bongo๐น๐ฟโคโค
nipeni like ndugu zangu ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kakangu kazi safi sana congrat
Hii ndio nyimbo pendwa kwangu kama na kwako ime kubamba like nyingi
Hii ngoma inakuaje haiko trend?
Sauti yako nzuri sana Aslay nakupenda sana nyimbo zako zina nikumbusha Tz.
Dingi mtoto umeua baba
Kaka unajua halafu unajua tena
Hatareeeeeeeeeeeeee na nuxu๐๐๐๐
Nashukuru sana huyu kaka karudi kwenye usanii wake
Jamaa amerudi
asente sana aslay umerudi am happy as your greatest fan everโฅโฅโฅโฅ
Aslay umenishusha roho niliweka roho juu juu kwa sasa nyimbo zako naenjoy mimi shabiki wako tokea drcongo twakupenda ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ
@FidoAmos