Asanteni Sana fans wangu kwakuzidi kuonesha love kwa bidada #anjela π
Wenye wanangali wanapenda iyi nyimbo 2024 waniwekeye liks
SISI TUNAANGALIA NGOMA HII 2025 YA π₯π₯ SANAH CONGOLE TO ANJELLA
Dope harmonize na Angela mmeweza aki..anayekubali ii ngoma agonge like apa
SANA SISTER AKE kama japo tumechelewa
Yani harmoniez kumpata tu.Anjela amefaulu kbs.nipe liki kama nasema kweli
Huyu mdada anajua kuimba kwa Tanzania anaeweza kushindanishwa nae ni Maua Sama tu, sema ndo hivyo wasafi brand yao imeshakua kubwa kitambo. Ila naamini Konde Gang tunakuja na speed ya 180km/hour... mzee wetu tembo kama utajaaliwa kuiona hii comment jua tuko pamoja na wewe na unafanya kazi sahihi kabisa...kaza Jeshi haina kulemba. Konde Music Worldwide. Konde Music for errrrrybody One love from Mobasa 001
Mm ndo wa kwanza like hapa twende sawaaa
Iii ngoma kali nime ikubali Kam wew upo Kama mem gonga like apo
Good job anjella ft Tembo wangapi wameelewa hii ngoma naomba like kuthibitisha hilo
MashAllah,, hii ngoma ikoπ₯π₯π₯ Wapi likes za Wakenya π°πͺπ°πͺπ°πͺ
Sitohama kondegang4everybody Kenyaπ°πͺπ°πͺ fans msipite bila ya likes
Wow nampenda sana.konde gang nipewe.like za wakenya
jamani naombeni ata like moja kwa mdogo wetu anjela na boss kondeππ₯π₯π₯π₯π₯π
Uko chonjo konde gang Ni venye uko na haters but they make you famous πͺπͺ
Sijaelewa niko hapa qeeen angella π₯π₯
Wapi likes za Anjellaπ kazi nzuri sana π₯
Ahsante Anjella wa Harmonize nani anakubali hii kitu gonga like bac na me kidogo
Yaani beat ni Kali..... Anjella akinyamaza tu....ndio beat inaingia.....nipe likes za hiyo beat
@mwanawote